王者荣耀战士钟无艳操作技巧 王者荣耀钟无艳玩法推荐
Mandhari

Katika utarakilishi, programu ya mfumo (kwa Kiingereza : "system software") ni programu inayotoa jukwaa ili programu nyingine ifanye kazi.
Kwa mfano, BSD, Ubuntu, Windows, MacOS au Linux ni programu ya mfumo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |